SIKOSANI TENA NA WATEJA! #MaadhimishoYaMiaka10YaTigoPesa

Tigo Tanzania 380.2K Views
  • 2.6K
  • 22
  • 411

Generating Download Links...

SIKOSANI TENA NA WATEJA! "Nilishawahi kumkasirisha mteja wangu na nikakosa kibarua kwa kuwa sikuwepo kazini muda tuliokubaliana kwakuwa nilienda kulipa...

Posted 5 months ago

Consolata Medard 5 months ago

Mnaboa vifurushi vyenu vyakijinga Sana nyie Yan mtu kifurushi kinaanzia sh3000 mnafikir Kama vile Ela tunaokota sisi uku mnakera walai tunavumilia tu kuweka line kwenye sm kwasababu ya wateja wetu wasipotee

Mtoo Kombo 5 months ago

Mnacho nikera zile dk za longa nae mi sizitaki mnitia asala km mnatoa dk 700 kwa mwezi niachieni nitumie mitandao yote mwezi huu nilirudi tigo ila kikiisha hiki siungi tena tigo narudi airtel dk 500 ila sipangiwi matumizi mmenikera sana

Happy Duwe 5 months ago

Mm nashukuru, nilikosea muamala, nikazungushwa siku 4, nikapiga huduma kwa wateja, nikasema kwakuwa mmekuwa waongo kurudisha muamala, naitupa lain ya tigo. Na nilitaka kuitupa kweli. Haikupita nusu saa nikarudishiwa muamala wangu. Kumbe uwezo wa kutatua mnao, Ila mlitaka ndoa yangu iharibike kwanza. Asante hela yangu ilirudi.

Adam B Salim 5 months ago

Mimi nataka tu Tigo waelewe kua mimi mwenye namba hiyo hapo 255713560782 hua siendi dukani au Tanesco kwa kununua umeme. Siku zote natumia TigoPesa kununua umeme.

Oswald Shirima 5 months ago

Hongereni Sana tigo kwa huduma zenu,but huduma ya internet Huku Kahama is very slow.Pambaneni na hilo unless litawatoa kwenye mstari.

Hapiness Mabati 5 months ago

TIGO siyo amfai niliumia sana kuona namba yangu hina mtu mwingine namba nili chagua mimi huna kuja kupiga huna pokelewa na mtu na matusi juu amfai

Agatha Frank 5 months ago

Tigo mnazingua mmeniunga vifurushi vya kuanzia elf tano nimewapigia mmeniahid mtanitolea Ila had leo hamjafanyia kazi. Sijui extender, social Mara voice mnakera Sio chaguo langu Hilo hakuna vifurushi vya siku

Mwita Joseph 5 months ago

Jamani tigo mnanipa mateso yaaani vifurushi vya internet kwangu vinaanzia 10,000/= mnanifanya nitafute line ya voda yenye ata nikiishiwa gafla mb naweza kununua kifurushi cha 1,000/=

Hamidu Msemo 5 months ago

Tgo natumia kupokea tu vifurishi vyenu kwa mlala hoi havimfai

Fatma Mohamed 5 months ago

Tgo shida sana wanakuambia badli namba ya longa nae lakin aibadilik ata ufanyaje