East Africa TV - Mc Mishepu akiapa kama sehemu ya ushahidi...

East Africa TV • 4 months ago   36     11
Generate Download Links

Click the button to get the download links.

Mc Mishepu akiapa kama sehemu ya ushahidi kwa kuweka rehani nyumba yake yenye thamani ya Milioni 300 endapo Simba SC Tanzania akifungwa na Young Africans Sports Club kwenye mchezo wa ngao ya jamii siku ya Sept 25.

Interview nzima bonyeza hapa kutazama https://www.youtube.com/watch?v=n7Jpo1nH88Y&t=25s

Comments
Jeremiah Petro
Jeremiah Petro4 months ago

Hiyo Nyumba haina thamani ya milioni 300.

Gonzi Maduhu Maduhu
Gonzi Maduhu Maduhu4 months ago

Atalia

Ira Nkund Mwanahipo Samwuel
Ira Nkund Mwanahipo Samwuel4 months ago

Dad eeeh ushabiki usipitilize mupilaa ni gem2 kwaio uhangalie usijee kufaa na pleshaa 🙉🙉🙉

Nyingo David
Nyingo David4 months ago

Anaweka mnada yaani anaiuza sio anatoa bure.
Inawezekana anatafuta wateja wa kuinunua kwa shilingi mil 300

Tumaini Mwanamasieyah Lambo
Tumaini Mwanamasieyah Lambo4 months ago

Labda millon 300 za Zimbabwe ya 2090.

Nixon Jasson
Nixon Jasson4 months ago

Huyu mnampa kiki ya bure tu. Kwanza nyumba yenyewe huenda ni ya urithi. Pili hiyo si nyumba yenye thamani ya fedha aliyoitaja kwa kuwa ni Kama pagale tu. Hivi anaijua nyumba yenye thamani ya sh 300 kweli? Mwisho kabisa hilo pagale mahali lilipo ni dhahama. Mvua ikinyesha nyumba za mtaa huo zote huwa zinafunikwa na maji ya mafuriko. Kwa hiyo aache kuendekeza kiki za kiboya hapa. 😂🤣😂