JE KUNA FAIDA GANI YA KUKUMBUKA KIFO

Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge 3.8K Views
  • 341
  • 113
  • 31

Generating Download Links...

#JE_KUNA_FAIDA_GANI_KUKIKUMBUKA_KIFO?

Je unajua nini kinapatikana katika kukikumbuka kifo na kuzuru makaburi.#Sheikh_Ayub_Rashid anaelezea Sikiliza hapa:

Posted 4 years ago

Abuu Twalha 4 years ago

KABLA SHIA HAJAJIFANYA ANAWATETEA WAPARESTINA KWANZA ANATAKIWA AINGIE KWENYE UISLAM HALAFU NDIO AWATETEE WAISLAM MASHIA SIO WAISLAM WATAWEZAJE KUTETEA WAISLAM

Ahmed Moy 4 years ago

Kafiri uyo

Ibrahim Gogo 4 years ago

Makafiri ndio hao wanaowatetea wanyonge kule palestina,ndio wameeleza hapo faida ya kuzuru makaburi,ndio wanawajali mayatima,ndio wanawajali wajane na ndio mstari wa mbele kuhakikisha wanaifundisha jamii uislam wa mtume muhhamad (s.a .w.w)..WEWE UNAIJIITA MUISLAM UNAFANYA YAPI KWENYE JAMII KIASI CHA KUWAITA SHIA NI MAKAFIRI??

Aboubakar Galby 4 years ago

Makafiri wa kishia hawana hoja yoyote
Porojo tu

Cheuc Bomba 4 years ago

Utakikumbukaje kifo wakati ushakufa ila tyuu tutakumbukwa na waliyo High

Neema Nkasi 4 years ago

Mola amuweke mahali pema pepo ni ishaalla

Abuu Twalha 4 years ago

HAWA AKINA #JALALA NDIO MAKAFILI WAKUBWA
:
:
MTU UKIWA UNAJITAMBUA USIJE UKABEBWA NA HAWA WANAO JIITA #SHIA ITHNA SHARIA RAFIDHWA HAWA NI WAOVU KULIKO MAYAHUD
:
JAMAN MSIDANGANYWE NA HAYO MAKANZU NA VILEMBA HAO SIO WAISLAM HAO NI MAKAFILI WENYE MAJINA YA KIISLAM

Fatuma Khalidi Sekanyorota 4 years ago

Kwelo

Rabia Iddy Mchomvu 4 years ago

Mashallah

Anuary Kweka 4 years ago

Je??kujengea kaburi inajuzu??