Ibada ya Mazishi, Parokia ya Ushiri- Rombo, Jimbo Katoliki Moshi

Radio Maria Tanzania • 5 months ago   339     183  •  7.8K Views
Generate Download Links

Click the button to get the download links.

Karibu katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumsindikiza Mwalimu Elizabert Medard Mrosso,na Bibi Fausta Simon Njau, kutoka Parokia ya Ushiri Rombo, Jimbo...

Posted 5 months ago in Religion & Spirituality
Comments
Anastazia Adolf
Anastazia Adolf5 months ago

Pumzika kwa amani wifi Elizabeth vita umevipiga vilivyo, imani umeilinda na mwendo na mwendo umemaliza😭😭 daima tutakukumbuka.

Anna Arstyad Anna Arstyad
Anna Arstyad Anna Arstyad5 months ago

Wapumzike kwa amani Amina

Aristida Shayo
Aristida Shayo5 months ago

R.I.P hakika tutakukumbuka daima

Aloisi Mushi
Aloisi Mushi5 months ago

Wapumzike kwa amani 😭😭na mwanga wa milele uwaangazie🕯️🕯️

Mrosso Mrosso
Mrosso Mrosso5 months ago

Mwenyezi Mungu ampokee na tunamwomba Ampe pumziko la amani kwake Mbinguni,amina

Fadhila Mseko
Fadhila Mseko5 months ago

Wapumzike kwa Amani

Priskusi Anaeli Sambaya
Priskusi Anaeli Sambaya5 months ago

Toka nzega tabora tz 🇹🇿

Hongera dw kwa matangazo yenu mazuri mbarikiwe nawafuatilia vyema kupitia radio washirika radio free Afrika 🖎

Zaumo Chang'a
Zaumo Chang'a5 months ago

Apumzike kwa amani