JANUARI 19,2021 BUKOBA - KAGERA.... - The Diplomat Tanzania

The Diplomat Tanzania 9.7K Views
  • 781
  • 50
  • 25

Generating Download Links...

JANUARI 19,2021 BUKOBA - KAGERA.

Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akishuhudia Hafla ya Utiaji Saini Mkataba kati ya...

Posted 9 months ago in Politics

Nelson Ebong 9 months ago

H.E John Pombe Magufuli's administration proves that the quality of governance determines the quality of investments a country attracts based on the trust established due to quality oversight that tolerates neither wasteful nor sluggish implementation of whatever has been agreed upon after objective analysis!

The APPROPRIATE level of transparency his administration exhibits in the handling and singing of these contracts is a healthy ANTIDOTE against corrupt manipulations that usually characterise "closed door" negotiations and signings: yes, it is another BRAVO to this fine example of leadership. He proves that the DNA in the exemplary founding fathers of Africa and other now developed countries still exists

By his vivid example, which needs supporting and praying for that it continues so and infects many others too, we can clearly see and believe that our very RICH Africa coming out of the superficial "poverty" branding

Is feasible
Is possible

Bravo To JPM and his team!

Daphne Koroma 7 months ago

RIP Baba may GOD grant you heaven, your foot print will forever remain in Tanzania.

Reginald Joachim Migunzu 9 months ago

Excellent information.... TANZANIA MPYA TUITAKAYO YA MAENDELEO BORA ZAIDI KWA FAIDA YA WOTE BILA YA UBAGUZI MUNGU AMETUPATIA KILICHO BORA ZAIDI WATANZANIA NA ATULINDE DAIMA HONGERA SANA JPM NA WAPENDA MAENDELEO WOTE TANZANIA MUNGU ATULINDE SANA WATANZANIA WOTE KWA FAIDA YA WOTE BILA YA UBAGUZI

Mariam Bahati 9 months ago

Kwanza pole na kazi ngumu za kututumikia watanzania wote kwa dn zote vyama vyote pia langi na makabila yote Tanzania Rais wangu huku kwetu kumeibuka swala la michango was shule et swali language umeagza kwyeyote asiyetoa mchango huo wakamatwe ata akikutwa hayupo kwake asakwe mpaka atoe ,vp apo

Mosses Anney 9 months ago

Pata mbegu ya papai ya mda mfupi miezi sita inaanza kuvuna tamu sanaa.
Tuwasiliane: 0752972727
https://youtu.be/bPm25AVcRS8

Matata Mohamed 9 months ago

WATANZANIA WEZANGU NAPENDA SANA KUTOA SIFA KWA KIONGOZI WETU KWA MISIMAMO YAKE. ILA MM SINALAA NDANI YA MIAKA MINNE SASA KWA UNYANYASAJI NINAO FANYIWA. NAWIZI NINAO FANYIWA KUPITIA KARATASI. MKOPO WA SHILINGI MILIONI 6. NIKOSE NYUMBA YASAMANI MILIONI 50. NAKULIPA FAINI. APANA WATANZANIA WEZANGU NAOMBA MSAADA WENU. MM NA FAMILIA YANGU.TUISHI KWA FURAA KAMA MUNAVOISHI WATANZANIA WEZANGU. HEEEHE MWENYEZI MUNGU. NAOMBA KAURIYANGU IWAFIKIE WATANZANIA WEZANGU ILIWAWENZE KUNIPA MSAADA ILIKUTETEA AKI ZANGU. Asanteni. No.0684000047.0659448826.

Juliana Kimenyi 9 months ago

Hongera sana kviongozi wote kwa mikataba ya tija kwa nchi yetu chini ya jembe letu HON.John Pombe Magufuli vivaaaa Tanzania

Samira Marcus 9 months ago

Hongera Jpm hapo hakija halibika kitu timu wazalendo kazi kazi mpaka kieleweke

Mutesa Wani 9 months ago

Awa watu ukiwa chunguza wanakuja na mengi na ndio huyu aliye peleka taarifa kwa watz na wakongo tusiende kwao wana ng'ata na kupuliza

January Zeno 9 months ago

Ubarikiwe sana