#HONGERA

RadioOneStereo 3.9K Views
  • 246
  • 2
  • 17

Generating Download Links...

Abdallah Mussa Mwaipaya

Posted 6 months ago in Politics

Latif Mnubi 5 months ago

Honger kak mwaipaya. Ila dah farhi atakuw na nani tena kwenye kipindi cha family. Tutakuw mpweke

Emmanuel Ibrahimu 6 months ago

Hongera Sana mwenyezi mungu akutangulie katika shughuli zako za ujenzi wa taifa.

Philbart Juma Daudi 6 months ago

Kila mtu na nyota yake mjini kachape kazi brother ila tutakukumbuka wana salamu radio one.

Mariam Gulamhussein 6 months ago

Hongera sana bro nimeshazoea kukusikiliza ktk mazungumzo ya familia kila j2 dah nitamiss sana sauti yako na unavyo mchangamsha farihhiya kila la heri karibu mkoa wa kilimanjaro

Mlinzimkuu Waziwanyasa 6 months ago

Hongera sana ningefurahi ungekuja ludewa njombe.

Ismail Saki 6 months ago

Hongera sana mzee Wa familia

Ally Iddi Msangi 6 months ago

Hongera sana mheshimiwa

Adius Godwin 6 months ago

Hongera sana kaka

Zamiri Ramadhani Salumu 6 months ago

jamani hadi farihya amelia. kweri mwaipaya unaijuwa paswed ya farihya. yote kwa yote hongera

Tumain Lema 6 months ago

Hongera tutakumis kwenye kipindi cha familia na shamba lulu