IGP SIRRO - MKOA WA KINONDONI KINARA VITENDO VYA KIHALIFU

Azam TV 27.9K Views
  • 659
  • 30
  • 35

Generating Download Links...

IGP SIRRO - MKOA WA KINONDONI KINARA VITENDO VYA KIHALIFU: Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema mkoa wa Kipolisi Kinondoni una...

Posted 6 months ago in Politics

Bawazir Musa 6 months ago

Ila IGP hawa wwnyekiti inatakiwa wawaifuchue wahalifu maana baadhi ya maeneo huwa wanawajua ila kwa kujuana tu wako radhi raia wengine wakatwekatwe mapanga na kuibiwa mali zao kama hawana sifa hizo za kulinda usalama wa raia hizo nafasi haziwafai kwakweli raia tuna uchungu sana maana hakuna mahali pa kulilia matatizo yetu ila kuna mengi saaana kwa leo naishia hapo mimi hapa ni mmoja wa wahanga niliopigwapigwa mapanga.

Rojasmkono 6 months ago

Kwa kinondoni sawa lkn kwa kuwa ni mkoa wa starehe kuliko mikoa yote.swali linakuja mbona wakati wa JPM kulikuwa kimya ata uwo mkoa unao semea ww kamanda sirro acha kutupotosha tunaitaji kazi na msiwe na huruma kwa majambazi JPM Alishawai kusema umemshika na meno ya tembo unaitaji upererezi?

Merengo Fredrick Whitehart 6 months ago

Naomba tu niongezee hapo, AFANDE SIRO, KAMATA BODABODA ZOTE ZINAZOLAZA NAMBA ZA USAJILI NYUMBA, WAMEKUWA WAKILAZA NAMBA ZA PKPK NA KUFANYA MATUKIO BILA KUSOMEKA, Haswa ktk jini la Dar es salaam.

Ezekiel Mollel 6 months ago

Hampaswi kuwaelekeza wenyeviti wamitaa chochote kwa kuwa hamuwalipi mishahara wanaishi ktk maisha magumu sn na ndio wanaofanya kz kubwa isiyo na shilingi. Wawajibisheni watendaji wa kata ndio mnaowalipa mishahara.

Jonathan Mjema 6 months ago

Tatizo kibaka akikamatwa Leo kesho karudi na pia polisi kinondono hawafanyi kazi yao kwa weledi kuna kitengo cha pikipiki cha polisi almaarufu tigo kazi yao ni kukimbizana na bodaboda na kuchukua rushwa

Furaha Nnko 6 months ago

Mh. Hao ni kupiga tuu!! Wanarudisha maisha ya watu nyuma.

Jackson Kawiche 6 months ago

Inamaana Siro anajua kinondoni Ni mkoa ngoja nimpe pole maana kazi anayo

Idrisa Jumah 6 months ago

Upo sahihi siro wajibike watendaji kata wanakura tu pesa hao

Shakila Rajabu 6 months ago

sio huko tu hata huku tanga watoto was ibilisi wapo kila Kona ya mji wanapora na kukata raia wema mapanga