StarTimes - Yani Daniela kaweka pingamizi kabisa Case...

StarTimes • 4 months ago   379     38
Generate Download Links

Click the button to get the download links.

Yani Daniela kaweka pingamizi kabisa Case asisome Maxwell! jamani jamani!!.......................#theheiress saa 3:45 Usiku
30 wa mwanzo leo! Lipia sasa mwezi mmoja au zaidi wa kifurushi cha Mambo (Antena) /Smart (dish) ujipatie zawadi ya shaver/ hair clipper.
Kumbuka kifurushi cha Mambo (Antena) ni 15000/= kwa mwezi
Na Smart (Dish) ni 21000/= kwa mwezi
Ukishalipia tutumie ujumbe wa malipo DM!
#startimeson #zawadikanastartimes

Comments
Magreth Paul
Magreth Paul4 months ago

Admin please naomba unitumie picha ya mme wake Savannah! Maana cjui anajifichaga wap😏

Nuru Kihongo
Nuru Kihongo4 months ago

Daniela sio mtu mzuri nilitaka kuvunja TV yangu nimpige hapo hata kofi

Rehema Fredy
Rehema Fredy4 months ago

Ama nmeumia na kimarga wanaroho mbaya iv hii Hali kwa Romina mwisho Lin anateseka Sana Daniela shetan aisee nmeumia Zaid kumtuma mtu akaibe Chen yote Cassie asisome duh

Kimath Julieth
Kimath Julieth4 months ago

Lakini Kama wapo mazazi Kama Daniela Wajirekebishe maana hiyo siyo roho kabisa

Gaudiosa Luhunde
Gaudiosa Luhunde4 months ago

ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka hakuna gwaride bila nyuuuuma geuka jiandae zamu yako yaja

Unique Naah
Unique Naah4 months ago

Sjawah kumpenda tangu mwanzo mpk mwish lkn tamuonea huruma akiwa jela

Mc Mamybaby Mc Mamybaby
Mc Mamybaby Mc Mamybaby4 months ago

Daniela ni Zaid ya mchawi

Mum Nadia
Mum Nadia4 months ago

Msijali ivi karibuni Romina hatachukua kila kitu hao watarudi mitaani

Benidius Albogast
Benidius Albogast4 months ago

Yaani huyu Daniela najua mwisho wake unakaribia

Annie Jumapili
Annie Jumapili4 months ago

hapa wametuongopea inakuwaje bodi ya shule wanaingia na wanafunzi