Habari Za Saa, Saa Nane na Dakika 55, Septemba 27, 2021.

ITV Tanzania 8.4K Views
  • 246
  • 73
  • 29

Generating Download Links...

Habari Za Saa, Saa Nane na Dakika 55, Septemba 27, 2021.

Posted 19 days ago in Social Issues

Andrew Julius 19 days ago

Mama hata stend ya mkoa dodoma na soko ndugai, vipo sehem ngum Sana hata kwa wafanya biashara stendi ilitakiwa iwe hata kisasa pale angalau, maana dodoma nikitovu, kwa sababu inagawa barabara tatu au nne stend Inge kua mjini ili, basi likifika iwe raihis kwa abiria hata Kama ni abiria wa vijijin hata Kama wamechelewa gari za vijijini waoate geust mjini kuliko huko

Haby Japhet 19 days ago

Nikiwa Mza Tanzania nawapata Hapa ITV

Mashawenge Edward 19 days ago

Nawapata nikiwa DRC

Joshua Kimario 19 days ago

Kikubwa tuna taka nitham serekalini viongoz wengi nitham hakuna

Shabani Mkina Mkina 19 days ago

Nawapata nikiwa kisesa mwanza Tanzania live bira karaha pamoja sana.

Michael Geoge 19 days ago

Nikiwa Congo nawapata vizuri

Nick J Hassan 19 days ago

Nikiwa Kwimba Mwanza nawapata kwa uzuri kabisa, ITV super brand

Hery Gody 19 days ago

Nawapata nikiwa geto

Yohana Ngonyani 19 days ago

Tatizo ni mipango yenu ya ccm hamuangalii ksho

Simoni Nkuyuguru 19 days ago

kutoka kigoma nawapata vyema