Kipima Joto, Mei 28, 2021.

ITV Tanzania 6.1K Views
  • 691
  • 40
  • 36

Generating Download Links...

Kipima Joto, Mei 28, 2021.

Posted 6 months ago in Politics

Gosbart Mushaka 6 months ago

Wandishi wa habari na vyombo tz( waliowengi). Japo wapo kwenye fani hii ya habari. Elimu na uzarendo wao ktk nchi yao nihaibu. Ben Mkapa alikuwa sahihi. Alafu Wandai uhuru wa habari, ukitaka kupata habari ni ,BB C, cgtn. Ar Jazeera hata ktn jirani

Jay David Justin 6 months ago

Jawabu ni kwamba Hapana kwa sababu,
Kuna mipaka na taratibu ambazo hazitambulikani katika miswada na hizi zinatengenezwa na watu kujilinda kisha kusahau taratibu zilizopo. Vyombo vingi vya habari vinashindwa kueleza baadhi ya mambo na wahariri wanaishia kutukuza tabaka fulani ili tu kunusuru chombo cha habari husika. Kama ambavyo tunasifiwa tusisahau kukubali kukosolewa.
Wapeni hata uhuru wa kujieleza ili mantiki ya vyombo iwepo.
Jarida la kanuni za vyombo vya habari uk14 linazungumzia
"Tamko Kuhusu Kanuni Misingi ya Uhuru wa
Kujieleza barani Afrika (lilikubaliwa mwaka 2002):
Nchi zilizoridhia Mkataba wa Afrika zina wajibu wa
kuhakikisha kupatikana kwa uhuru wa kujieleza na
kupata taarifa, ambao pia unahusisha haki ya kutafuta,
kupokea na kusambaza taarifa na mawazo ya aina
mbalimbali kwa njia ya mdomo au maandishi, na bila ya
kujali mipaka, kwa kuandika au kuchapisha, kwa njia ya
sanaa, au njia nyingine yoyote atakayoichagua, hata kama
ni nje ya mipaka ya nchi. Tamko hili linafafanua misingi
mbalimbali"
Ndimi Comrade Ole Daudi Justin

Hassani Mlacha 6 months ago

Wa tam tam salamu club kaloleni moshi tz waandishi wa habari nikioo cha jamii nivizuti wawe huru kutoa habari kwa uma hata kama inawagusa wasio taka kuguswa Ila wawe salama sio unatoa habari Leo kesho unapotea kusipo julikana hii imeumiza familia nyingi mno serikali iwe na waandishi wa habari

Mkolima Maiko 6 months ago

Wa malangali njombe wanging'ombe kunamda baadhi ya viongozi wamekua ndiyo Kwanza kuto watendea haki wanahabari je? Hawajui au?na Sheria inasemaje

Ally Kinota 6 months ago

Kufanana kwa head line inawezekana magazeti kumi yanamilikiwa na kampuni moja hivyo sioni tatizo kufanana kwa head line

Benny Mwasile 6 months ago

Maoni pande zote zinatakiwa kuzingatia sheria habari ndio mfumo wa maisha tupo pamoja.kwa mjadara huo

Paul Kabad Semembela 6 months ago

Wa SEMEMBELA bukene.ndiyo kikatiba inatakiwa vyombo vywahabari vrpewefurusa isipokuwa wasivunje shelia

Rodgers Kiwia 6 months ago

Mh Rais Samia Hassan apeleke mswaada bungeni

Andason Abely 6 months ago

Itv muko vizur sana tena poa sana tuko pamoja

Leonard Joseph 6 months ago

Itv munatishaaa