Karibu katika adhimisho la Misa... - Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania • 5 months ago   381     158  •  4.3K Views
Generate Download Links

Click the button to get the download links.

Karibu katika adhimisho la Misa Takatifu ikiwa ni Dominika ya 21 Mwaka B wa Kanisa kutoka Parokia ya Afya ya Wagonjwa Sengerema Jimbo Katoliki Geita....

Posted 5 months ago in Religion & Spirituality
Comments
Nicholaus Malima
Nicholaus Malima5 months ago

Nikuache niende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Nijalie kusimama imara katika imani EE BWANA neno lako liwe taa yangu daima. Amen 馃檹馃檹馃檹

Saraphina P Kolushusho
Saraphina P Kolushusho5 months ago

Mungu wangu nisaidie nikufuate wewe siku zote za maisha yangu. Tawala maisha yangu tawala maisha ya watoto wangu na maisha ya mume wangu. Na nikutumikie wewe siku zote.

Eyan Msofe
Eyan Msofe5 months ago

Nafuatilia nkiwa kamanga hospital

Winifrida Paulo
Winifrida Paulo5 months ago

EE BWANA NENO LAKO NI TAA YA MAISHA YANGU,nawapata vzr kutoka yesu kriso mfalme kigango cha bukara

Anna Arstyad Anna Arstyad
Anna Arstyad Anna Arstyad5 months ago

Amina

Ruaich Simon
Ruaich Simon5 months ago

Amia nikiwa bunda mara live

Hyline Mekubo
Hyline Mekubo5 months ago

Amen

Uc Uchenna
Uc Uchenna5 months ago

Amen

Peter Mwanilwa
Peter Mwanilwa5 months ago

Ee Mungu uturehemu kadri ya fadhili zako