StarTimes - Makavu laivuuu!!...................ST SWAHILI...

StarTimes • 4 months ago   352     22  •  7K Views

Makavu laivuuu!!...................ST SWAHILI | Kila Siku saa 3:00 usiku

30 wa mwanzo leo! Lipia sasa mwezi mmoja au zaidi wa kifurushi cha Mambo (Antena) /Smart (dish) ujipatie zawadi ya shaver/ hair clipper.

Na wa Uhuru (antena, 20000/=) / Super (Dish, 36000/=) kuna zawadi hair clipper/ digital shaver sambamba

Kumbuka kifurushi cha Mambo (Antena) ni 15000/= kwa mwezi
Na Smart (Dish) ni 21000/= kwa mwezi

Ukishalipia tutumie ujumbe wa malipo DM!

#startimeson #zawadikanastartimes #mrsfaziletandherdaughters

Comments
Fetty Imamu
Fetty Imamu4 months ago

Thania Ibrahim
Thania Ibrahim4 months ago

Echee siku yako itafika tu mshenzi ww hayomacho yataongezeka ukubwa ndohapo utapoijua nguvu yamama

Martha Nchambi
Martha Nchambi4 months ago

Hivi huyu kibiriti goma ataubuka lini nimesha mchoka.

Lucy Mlacha
Lucy Mlacha4 months ago

atujaangalia wiki nzima leo tunaangalia marudio mnaanza kusumbua tuondoleeni. Iyo no servece

Elesiah Chengula
Elesiah Chengula4 months ago

HIV marudio lini

Kissa Salum
Kissa Salum4 months ago

Eche kiazi sana ww

Jamie Jeff
Jamie Jeff4 months ago

Startimes ile ofa ya kulipia kifurush Cha mambo unapandishwa uhuru Bado ipo?

Adido Fred
Adido Fred4 months ago

Weweeee

SureArts Painter
SureArts Painter4 months ago

SKuiz chanel zote n kiswahili😂😂😂

Tumah Smith
Tumah Smith4 months ago

Eche kichwa chako kinanini we mtoto 🤨