JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO

Bishop Sylvester Gamanywa 24.8K Views
  • 716
  • 200
  • 141

Generating Download Links...

TUMECHOSHWA NA MASHETANI KUKALIA TANZANIA

Posted 2 years ago in Religion & Spirituality

Suma Ramadhan 2 years ago

Wamezidiana kete awo sadaka zimekua ngumu wanataka kumuingiza raisi

Joshua Kisaka 2 years ago

Kitu kimoja nakiona leo huo umoja niwakinafik sana kwakuwa imani zenu kwanza hazifanan iweje muwe najukwaa moja na nivyema kwanza makanisa yenu yawe nimoja ndo tuelewe kuwa kweli upendo wa kristo uko ndani yenu

Ombeni Ambrosy Kalenga 2 years ago

Hapo shetani lazima atafte pakuegemea

Emmy Matebe 2 years ago

Vipande vya sabuni

Salim Misso 2 years ago

Yesu hatetewi na yeyote chini ya jua. Amepewa mamlaka yote anajitetea mwenyewe. Kumbuka kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri Yesu Kristo ni bwana.

Mer Ry 2 years ago

Woto mnataka sadaka na sio mungu akuna jipya apo mungu atetewi na mwana dam

Oscar Ndunguru 2 years ago

Hizo ni hisia za chuki,ww ni Baba yangu acha Mungu atafanya kwa wakati wake,plz usitumie uhusiano wako na viongozi wa nchi kuumiza wengine,MUNGU YUPO NA ANAONA YOTE HAYO

Irine Kombe 2 years ago

Kwa sasa hali ni ngumu kila mtu anatafuta pesa kwa bidii sana irafikia wanaojita manabii watawauzia watu vitu vya ajabu mpaka vingine vitawazuru kwa kutafuta upako tulieni fanyeni kazi kwa bidii ndio jibu la mafanikio hakuna miujiza wa kubadilisha maisha yako.