"Leo katiba inajadiliwa kwa sababu... - Chadema in Blood

Chadema in Blood 9.1K Views
  • 587
  • 27
  • 45

Generating Download Links...

"Leo katiba inajadiliwa kwa sababu inasukumwa sana John Pambalu, wana kongamano la #KatibaDay Dar es salaam, tutakuwepo, tunawakaribisha watu wote waje...

Posted 4 months ago in Politics

William Silayo 4 months ago

Kuna watu awajui maana ya katiba ndo maana wakuwa wanyuma kila siku unaambiwa shule nibure unapika makofi nashule unalipa ada kama kawaida

Ahmed Magesa 4 months ago

Katiba tuliyonayo inatutosha labda mtafutie katiba ya kuvimbisha matumbo yenu.

Alex Wiliamu 4 months ago

Hatuna shida Na Katiba sisi vilaza nyie

Moses Kilindu 4 months ago

Mungu asaidie kuwazibuwa masikio wenyezamana ili wakubali kulasimisha katiba mpya

Robert Mziray 4 months ago

Mungu awasimamie

Emcrich 4 months ago

Huyo anayeongea hapo huku hana kiti

Linda Chelsea 4 months ago

Katiba si mkawadai wake zenu

James Mchaky 4 months ago

Hilo kongamano ni lini?

Alison Sadock 4 months ago

Saf san wakuu mungu awabarik san

Ben Kamu 4 months ago

Sure