East Africa TV - Ile wiki ya mitindo Tanzania...

East Africa TV • 4 months ago   10     0  •  288 Views

Ile wiki ya mitindo Tanzania inayofahamika kama Tanzania Fashion Festival inaongeza kilometre na kurudi tena!. Ni Jumamosi ya tarehe 25 Novemba, 2021 pale Terrace Slipway Masaki kuanzia saa 6 mchana mpaka 4 Usiku. Njoo ushuhudie maonyesho ya mitindo ya majira ya joto yaani summer, muziki na dance, huku ukifurahia muziki na vinwaji baridi. Kiingilio ni 10,000, mlangoni ni 15,000, VIP 50,000 na meza ni millioni moja.

Ticket zinapatikana Mr Price Mlimani City. Au www.otapp.co.tz. #TanzaniaFashionFestival2021 inaletwa kwako na @konyagi_tz @atsoko @hugodomingoevents @terrace.slipway Hotel, @istudios_tz @otappofficial pamoja na East Africa Radio na East Africa TV